Kakobe: Nyerere sio Mungu,hata nikate kichwa sitamuabudu Nyerere

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
6,380
Reaction score
5,884
Bofya link (picha) uangalie mameno makali kuyoka kwa Kakoe kuhusu Nyerere na Mungano na Tnganyika pamoja na Zanzibar

Nyerere sio Mungu

kakobe.jpg

Nyerere alikuwa shughuli.........:-Kakobe

k2.jpg
 
Bofya link (picha) uangalie mameno makali kuyoka kwa Kakoe kuhusu Nyerere na Mungano na Tnganyika pamoja na Zanzibar

Nyerere sio Mungu

View attachment 154127

Nyerere alikuwa shughuli.........:-Kakobe

View attachment 154129

Mbona Waumini wake wanamwabudu yeye ni Mungu? Asipokuwepo wanaweka CD kuangalia mahubiri yake! Poor Kakobe! Halafu asisahau ahadi yake aliyotoa mwaka 1995 kuwa "Mrema asipoingia Ikulu, mimi (Kakobe) sirudi Kanisani!"
 
Kiukweli Nyerere si Mungu.

Kwani kawa Mungu lini@Buchanan?

Nyerere alipata kuaema hivi;
"Lazima tulifanya makosa katika uongozi, kwanini tusikosee kwani sisi malaika? Ukizingatia tulikuwa wageni wote, lazima tulikoaea"

Pia akasema, "Awamu yangu mimi imefanya mema, imefanya ya kijinga. Ya kijinga lazima yaachwe, ajabu ninyi mnaacha mema mnafanya ya kijinga. Hata yale ya msingi mnayawekea question mark!!"

Maneno hayo yalidhihirisha alijijua kwamba hakuwa Mungu. Ninyi mnaotaka kumtukuza acheni
 
Nikisililiza vipindi vya "miaka 10 bils mwalimu Nyerere" katika TBC mwaka 2009,
Prof Baregu akiwa na baadhi wa waadhili wa sheria alisema " Moja ya mambo amvayo mwalimu alikiri kuwa alikosea hata baada ya kutoka madarakani ni kuhusu muundo wa muungano. Mwalimu alisema ni vema angekubali ushauri wa Kwame Nkurumah na Kenyatta ambao haukupingwa na Mzee Karume kwamba tuunde serikalu moja, Zanzibar iwe mkoa maana ipo siku jwa muundo wetu hawa Watanganyika watahitaji na wao serikali yao."

Kwa mujibu wa baregu maneno hayo Mwalimu aliyasema walipokwenda kumjulia hali kwake Butiama baada ya kuanza kuugua mwaka 1998.
 
Mbona Waumini wake wanamwabudu yeye ni Mungu? Asipokuwepo wanaweka CD kuangalia mahubiri yake! Poor Kakobe! Halafu asisahau ahadi yake aliyotoa mwaka 1995 kuwa "Mrema asipoingia Ikulu, mimi (Kakobe) sirudi Kanisani!"

Kama waumini wake wanamuabudu hayo ni makosa ya waumini sio ya Kakobe....kama umezisikiliza video Kakobe anasema binaadamu ni binaadamu lazima utakuwa na makosa kenda mbele zaidi kawataja mpaka mitume kuwa na wao walikuwa na makosa..
 
Hizo CD anawaagiza yeye Kakobe waziweke, hivi hakuna mtu mwingine wa kuhubiri Kanisani kwake ni yeye tu?
 
Kiukweli Nyerere si Mungu.

Kwani kawa Mungu lini@Buchanan?

Nyerere alipata kuaema hivi;
"Lazima tulifanya makosa katika uongozi, kwanini tusikosee kwani sisi malaika? Ukizingatia tulikuwa wageni wote, lazima tulikoaea"

Pia akasema, "Awamu yangu mimi imefanya mema, imefanya ya kijinga. Ya kijinga lazima yaachwe, ajabu ninyi mnaacha mema mnafanya ya kijinga. Hata yale ya msingi mnayawekea question mark!!"

Maneno hayo yalidhihirisha alijijua kwamba hakuwa Mungu. Ninyi mnaotaka kumtukuza acheni

Tumefundishwa, tumejisomea kwenye viyabu vitakatifu na tukaamini katika MUNGU MMOJA. Si Qur'an si Bible hakuna pameandikwa Nyerere ni Mungu. Kwanini CCM wanatatuongezea mungu mwingine?
Sisi mungu wetu mmoja anatosha.
 
Mbona Waumini wake wanamwabudu yeye ni Mungu? Asipokuwepo wanaweka CD kuangalia mahubiri yake! Poor Kakobe! Halafu asisahau ahadi yake aliyotoa mwaka 1995 kuwa "Mrema asipoingia Ikulu, mimi (Kakobe) sirudi Kanisani!"
Duuh
 
Acheni kumtukuza huyo babu marehemu, ni binadamu kama nyinyi mwishoe mutakufuru aise...kwanza sijawahi kumkubali huyu babu
 
Back
Top Bottom