Bofya link (picha) uangalie mameno makali kuyoka kwa Kakoe kuhusu Nyerere na Mungano na Tnganyika pamoja na Zanzibar
Nyerere sio Mungu
View attachment 154127
Nyerere alikuwa shughuli.........:-Kakobe
View attachment 154129
Mbona Waumini wake wanamwabudu yeye ni Mungu? Asipokuwepo wanaweka CD kuangalia mahubiri yake! Poor Kakobe! Halafu asisahau ahadi yake aliyotoa mwaka 1995 kuwa "Mrema asipoingia Ikulu, mimi (Kakobe) sirudi Kanisani!"
Kama waumini wake wanamuabudu hayo ni makosa ya waumini sio ya Kakobe....kama umezisikiliza video Kakobe anasema binaadamu ni binaadamu lazima utakuwa na makosa kenda mbele zaidi kawataja mpaka mitume kuwa na wao walikuwa na makosa..
Kiukweli Nyerere si Mungu.
Kwani kawa Mungu lini@Buchanan?
Nyerere alipata kuaema hivi;
"Lazima tulifanya makosa katika uongozi, kwanini tusikosee kwani sisi malaika? Ukizingatia tulikuwa wageni wote, lazima tulikoaea"
Pia akasema, "Awamu yangu mimi imefanya mema, imefanya ya kijinga. Ya kijinga lazima yaachwe, ajabu ninyi mnaacha mema mnafanya ya kijinga. Hata yale ya msingi mnayawekea question mark!!"
Maneno hayo yalidhihirisha alijijua kwamba hakuwa Mungu. Ninyi mnaotaka kumtukuza acheni
DuuhMbona Waumini wake wanamwabudu yeye ni Mungu? Asipokuwepo wanaweka CD kuangalia mahubiri yake! Poor Kakobe! Halafu asisahau ahadi yake aliyotoa mwaka 1995 kuwa "Mrema asipoingia Ikulu, mimi (Kakobe) sirudi Kanisani!"