Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .
Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.
Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .