Kakolanya apewe namba 1 Taifa Stars .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ni ujumbe ninaompelekea Kocha wa Taifa Stars , Emmanuel Amunike .

Hakuna haja ya kujiumauma , huyu golikipa si wa kawaida , haiwezekani mtu mmoja aizuie timu ya wachezaji 11 kwa dk 90 , tena si kuwazuia tu bali kuwazuia kibabe mno ! bila shaka uwezo wa Kakolanya umejidhihirisha wazi kwa kila mpenda soka.

Taifa stars inahitaji Kipa mkatili kama huyu , Yanga yote ilikufa , simba ilibaki kupambana na Kakolanya na ikamshindwa .
 
Promo kama hizi....😸😸🙌🙌
 
Mkuu ule uwezo si wa game 1 tu , siamini .

Mkuu huyu Benno bado sana.. Tumpe mda wa kuendelea kujifunza toka kwa golikipa bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini katika miaka ya hivi karibuni.. Tanzania 1, Aishi Manula.
 
Kumbe huwa kuna muda akili zinatulia!!! Ushauri mzuri sana
 
Mkuu huyu Benno bado sana.. Tumpe mda wa kuendelea kujifunza toka kwa golikipa bora kabisa kuwahi kushuhudiwa nchini katika miaka ya hivi karibuni.. Tanzania 1, Aishi Manula.
Hivi ubora wa Manula ni upi hasa ?
 
Yaani full kabahatisha mipira mingine inamgonga tu bahati mbaya ndio awe zaidi na Tanzania One??? Stupid
 
Boss kwa game 1 tu..!?
Hapana ngoja atuthibitishie upcoming games na team yake kama anadeserve kusogezewa kete kubwa
 
si game 1 tu mjomba jaribu kuangalia tena .
Beno kadaka game na Waharabu, Yanga imeshinda. Kadaka mechi na Mtibwa Yanga pia imepata matokeo na Nazi yake hakika ilionekana dhahiri. Kadaka juzi na Mikia kila MTU ni shuhuda wa kilichotokea, hadi kocha wao wa ngumi kamkubali. Sasa hao wanaokupinga waache tu na mihemko yao. Beno deserves to be Tanzania one kwa sasa, hill Galina ubishi.
 
Pamoja na kuukubali uwezo wa Kakolanya lakini mimi ni Simba mkuu , usituite mikia bhana .
 
Pamoja na kuukubali uwezo wa Kakolanya lakini mimi ni Simba mkuu , usituite mikia bhana .
Ile gemu na simba kakolanya hakua golini mkuu,

kulikua na majini pale...kakolanya alikua pembeni kabisa anakunywa kahawa,

kakolanya hana uwezo wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…