kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Yupo Ally salim.Watani zetu simba tumemtema kakolanya. Sijajua sababu lakini kwangu ni kipa bora asiye na mbadala wakati huu manula hayupo
Yanga changamkieni maana tofauti na diara wengine magalasa
Simba guvu moya
Dr Matola PhD
Morison pamoja na kunyea kambi hadi kupelekana CAS mlimrudisha. Kwahiyo hata kakolanya inawezekana tu sioni kama ni tatizoHuyo Benno pamoja na wenzake akina Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, nk walinyea kambi pale Yanga. Hivyo sioni kama anaweza kurejeshwa tena kundini.
Mbona metacha na Morrison mlimrudisha licha ya kuwanyooshea dole la kati.Huyo Benno pamoja na wenzake akina Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, nk walinyea kambi pale Yanga. Hivyo sioni kama anaweza kurejeshwa tena kundini.
Bora kumrudisha Kindoki kuliko KakolanyaHuyo Benno pamoja na wenzake akina Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, nk walinyea kambi pale Yanga. Hivyo sioni kama anaweza kurejeshwa tena kundini.
Mrudisheni Kabwili yuko vizuri tu
Naunga mkono hoja yako 100% Benno ni bora kuliko MetachaWatani zetu simba tumemtema kakolanya. Sijajua sababu lakini kwangu ni kipa bora asiye na mbadala wakati huu manula hayupo
Yanga changamkieni maana tofauti na diara wengine magalasa
Simba guvu moya
Dr Matola PhD