Kakolanya ni pengo Yanga , mkubali au mkatae

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Goli kama lile alilofungwa Kabwili huwezi kumfunga Kakolanya , huo ndio ukweli

Binafsi nimefurahishwa na ushindi wa Timu yangu ya Simba lakini ni wazi kabisa kwamba kutokuwepo kwa Kakolanya kumeturahisishia sana .
 
Msajili nýie sasa

Manula anafungwa mağoli ya mbali kuliko ilo alìlofugwa Kabwili
 
Kabwili ni kipa mzuri sana. Sikutegemea kuona alichofanya jana, autimatically nilihisi angekua na hofu ila ameweza kujiamni na kufanya kazi yake vizuri. sijaona goli la kumlaum gori kipa pale.
 
Tatzo mikia inataka kutupakia ata jinsi ya kushabikia timu yetu. Kwa mechi ya jana ckujuwa kama yanga wanaweza cheza vizuri kiasi kile nimefungwa ila najiisi furaha kwa sababu timu imecheza kwa kujituma kwelikweli ambaye akuona ili basi aombe miwani.
 
Kabisa Mkuu,Nakubaliana na wewe 100%

Sent from Nokia 7 Plus
 
Kabwili ni kipa mzuri sana. Sikutegemea kuona alichofanya jana, autimatically nilihisi angekua na hofu ila ameweza kujiamni na kufanya kazi yake vizuri. sijaona goli la kumlaum gori kipa pale.
Alijiamini kwenye nini,kuna hatari gani alizokutana nazo halafu akaokoa? Mabeki walimlinda kwa dakika zote na walipozembea kidogo hapohapo na kipa akafungwa kizembe
 
Hii mijamaa inapenda sana kufundisha watu jinsi yakufanya kazi, kama wakiona kakolanya ni mzuri mnunueni nyie sisi uku kwetu asilete miguu yake.
ni ushauri tu jamani kama vipi endeleeni kupokea vichapo
 
Write your reply...kuna mechi moja Tanzania walicheza na Zambia uko Sauzi ilikuwa COSAFA.. manula alipigwa goli faulo ilikuwa ya mbali vibaya mno. pale hata huyu kabwili asingefungwa
 
We hujui mpira yapo magoli ya kumlauku kipa lakini sio lile
Goli kama lile alilofungwa Kabwili huwezi kumfunga Kakolanya , huo ndio ukweli

Binafsi nimefurahishwa na ushindi wa Timu yangu ya Simba lakini ni wazi kabisa kwamba kutokuwepo kwa Kakolanya kumeturahisishia sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...kuna mechi moja Tanzania walicheza na Zambia uko Sauzi ilikuwa COSAFA.. manula alipigwa goli faulo ilikuwa ya mbali vibaya mno. pale hata huyu kabwili asingefungwa
Wala simlinganishi Manula na Kakolanya , nilishaandika humu kitambo kwamba Kakolanya apewe namba 1 Taifa Stars
 
Tatzo mikia inataka kutupakia ata jinsi ya kushabikia timu yetu. Kwa mechi ya jana ckujuwa kama yanga wanaweza cheza vizuri kiasi kile nimefungwa ila najiisi furaha kwa sababu timu imecheza kwa kujituma kwelikweli ambaye akuona ili basi aombe miwani.
Mkuu basi km nihivyo simba hana mpinzan tena kwenye ligi ufugwe tena na mtani wako kisha ufurahie kufugwa jaman njoon mnisaidie kushangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa Beno alifanya wanayoyaita ni "makosa" katika kudai haki zake za msingi lakini ukweli unabaki palepale, ni kipa bora katika makipa waliopo Yanga kwa msimu huu. Yanga wamemuachia klabu Zahera, yeye ndo msemaji wa klabu, yeye ndo mhasibu na yeye ndio mwenyekiti au Rais. Hilo jambo litakuja kuigharimu Yanga!
Kuna wakati Kabwili alikuwa anaomba abadilishwe. Alitoa ishara ya kuomba mabadiliko ila Kindoki alimnasihi aendelee.
 
Goli kama lile alilofungwa Kabwili huwezi kumfunga Kakolanya , huo ndio ukweli

Binafsi nimefurahishwa na ushindi wa Timu yangu ya Simba lakini ni wazi kabisa kwamba kutokuwepo kwa Kakolanya kumeturahisishia sana .
Jana ata Yanga wasinge weka kipa Goli lilikua lile lile.Beki ilifanya kazi ipasavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…