Kama kuna mtu anaujua mziki na kausikia huu wimbo atakubali jamaa ni noka,kwanzia idea,vina na mpangilio wa mashairi..
Sio audio tu,pia kama kuna mtu kaiona video ya huu wimbo atakubali kuwa haijakosewa kutoka na wimbo husika..
Kwangu mimi this song is a bomb,hata kama hauta hit kwasababu Bongo fleva ina milikiwa na watu na hao watu wanaweza kuamua usi hit..
Usikilize huohapo chini
Big up KALA,YOU KNOW MEN..