Kalamashaka appreciation thread

Kalamashaka appreciation thread

Raskazimi

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
1,092
Reaction score
1,201
Pamoja na Tanzania kukubalika na wengi kwamba imeishikilia bendera ya rap ya Afrika Mashariki kwa historia yake yote, mchango wa hawa jamaa kwenye sanaa si wa kubeza.



Saigon was in his bag on this one




Vigeti pekee can flow with the best of them



Haki kwa wana Ngorongoro na popote pengine duniani

 
Back
Top Bottom