Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 373
- 829
Kalamu ya Leo π | Simba SC Vs Azam FC
MZIZIMA DERBY π₯! Simba na Azam wametupa mechi bora sana β ! Fadlu David's Vs Rachid Taoussi π₯
4-2-3-1 ya Simba in Build-up leo muda mwingi walicheza na 2-4-1-3(CBs then FBs wanacheza pembeni ya Ngoma na Kagoma then Ahoua juu yao kisha Kibu, Ateba na Mpanzu)! Hapa walifanikiwa zaidi maeneo pembeni walipo Mpanzu na Kibu Denis ambao walitumia nafasi iliyopo baina ya FBs + Runners wa Azam FC lakini bado Timu ilipata shida hasa kwenye Transition, why?
1- Kagoma na Ngoma walikosa uharaka wakati timu unatoka chini na mipira mingi ikachelewa kwenye nafasi na Ahoua muda movements zake muda mwingi zikakosa hatari mbele ya CBs wa mpinzani(Akaminko na Zayd hapa walicheza kwa usahihi sana)
Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025
2- FBs wa Simba(MH15 na Kapombe) hawakuvuka sana mstari wa juu na spaces zilizokuwa baina yao Msindo + Lusajo ikawa rahisi kuzuia hatari na kusaidia Runners wao(Iddy Nado na Gibril Sillah kuwa kwenye mwendo mzuri)
Azam FC in 4-4-2 kuna muda wakiwa na mpira au hawana waliunda 4-2-4 iliyokuwa na faida mbele ha 18 ya Simba kwa idadi ya wachezaji(hata bao la kwanza lilitokea hapa kutokana na uharaka wao)! Feisal mbele ya Zayd na Akaminko ndio alikuwa silaha yao na hatari mbele ya Simba huku Nassor Saadun alifanya movements kuwaondoa Hamza na Che Malone/Chamou katika maeneo yao
2ND HALF! Kapombe na MH15 wakaanza kuvuka mstari wa katikati, hiyo ikawa faida kwa Simba sababu idadi ya wachezaji juu inaongezeka lakini pia athari kwao sababu Azam ina idadi kubwa ya wachezaji wanaokimbia sana juu na ufanisi wao kutumia nafasi ni mkubwa! Kilichobaki ni kuunda nafasi na kila mmoja kutumia kwa ufanisi
THIRD EYE. π
β’ Iddy Nado na dakika bora sana leo π₯! Lusajo + Akaminko π! Kibu + Ahoua ππ
β’ Pascal Gaudence Msindo leo kacheza bora sana π
β’ Fei Toto what a game π! Gibril Sillah in space π₯! Hamza. A πͺ
β’ Elie Mpanzu top game, miguu yake juu ya mstari wa katikati π₯
β’ Zidane Sereri super sub π₯
NB:Mechi isiyo na ndugu π
FT:SIMBA SC 2-2 AZAM FC
Let's Goo!!.