Kalapina aelezea sababu za kumchapa chidi benz jukwaani

Hawa wasanii hawajitambui.Nakumbuka chid alipomchapa profesor jamii ilihuzunika na kulaani kutokana na heshma ya prof bt chid alipohojiwa radion akaonyesha kburi na kusema 'kwani ndo mara ya kwanza kumchapa?'
Leo amechapwa yeye sasa.Huyo kalapina nae hana ustaarabu coz hata style hana sijui ni nani anaweza kulipa kiingilio au kununua music anaofanya huyu jamaa Analazmisha utasema amekabwa.Zaidi kanuni ktk mchezo wa karate kwa huyu ----- ni zero kabisa.Inatia kichefuchefu
 
Uganda;.RAGA DEE kanunua MANSION LINGINE la 'hatari'.na anadai sio kwamba anahitaji nyumba.anazao kibao za kuishi naza miradi lakini kwa vile CHAMILLION ametajwa miongoni mwa wanamuziki KUMI MATAJIRI ZAIDI AFRIKA,kaona washindane kwenye mabo haya as yeye anaamini orodha ile ina walakini!!!!

hii ndo vita wanayopaswa kupigana....sio kushindana nani ana msuli mkubwa na anaweza kupiga wenzake ngumi kali..................mbavu zao!!......sooggy na kimwili chake kiduuchu aliataka kutuua mamia Bills pale na ki - ''spray'' chake cha sumu..sasa ngumi kitu gani.........watashindana hadi kuvuta bange hao mburura.si hawana akili!!!

wenzao East Africa hii hii wanatusua na mkwanja mrefu....majumba,ardhi,magari makali (hawa wetu wsakinunua Alteza blog za nchi nzima zitaandika)...hata nyumbani kwao hayataki kuondoka(kodi ya nyumba mchezo!!!?) yamejibanza tu kwa mama zao mpaka yanazeeka halafu badala ya hela wao wanashindana ngumi.................mmssxxxxx!!

tafuteni hela kenge nyie,acheni sifa za kijinga!mpaka leo wanaume wazima wanapigana ngumi hadharani bila malipo!!??...eti wanamuziki,pumbavu!!
 
Kwa jinsi nilivyosikia Interview ya Kalapina tena naona hata kichapo alichompa hakikumtosha, huwezi kuleta makuzi wakati watu wapo kazini, kingine sikujuwa kama Chid ni teja la unga ila Kalapina ameweka wazi.

Hapa naikumbuka nyimbo yao kikosi cha mizinga Hip hop bila madawa inawezenaka, huyu jamaa kwa muonekano ni msela fulani lakini always don't judge book by the cover. mimi mtu makini anapozungumza namuelewa Kalapina ni mtu makini na ndio maana anakemea madawa ya kulevya licha ya kwamba ukimuangalia unaweza kumchukulia kama msela fulani tu.

Big up Kalapina endelea kutandika mashoga hawa wanaotoboa puwa, sikuwahi kujuwa Chid kama ni pumbavu kiasi hiki. puuuuuuuuuuuuu!!
 
Wewe Pimbi nyinyi ndio mlioanza kusikiliza muziki baada ya kumjuwa Diamond, Kikosi cha miznga chini ya Kalapina wanapiga Hardcore Hiphop, mshamba kama wewe uliyekuja mjini na mbio za Mwenge au FUSO la ziara za Maulid huwezi kujuwa Kalapina anaimba nini.

Tafuta nyimbo za KRS One na Naught by Nature hasa zile za mwanzoni ndio utajuwa hapa nazungumzia nini, usidhani kila msanii ni kubana puwa kama hao mapimbi wenzako.
 
kuna tatizo sehemu hasa kwa wana hip hpo
 
Duh lile teke Chid alirushwa utadhani Pina kapiga teke kuku!
 
kalapina! ndo aligombea udiwani huyu!....one day ataenda arusha,na hapo ndo tutajua,toe to toe...achunge tu asipigwe beto!
 
Kwa nilivyoona ile clip, Chid ndio mkorofi alionywa kama dk 10 nzima anazingua tu stejini.....

Back kwa nyie mnaosema Kala pina hata haeleweki mna tatizo, hebu msikilizeni huyu jamaa vizuri mtaona mashairi yake. Tena mkumbuke ana washabiki wanaopenda mziki wake wa ki hardcore hasaaa so akifanya shoo watakuja tena sana tu
 

Ujue Matola unaongeaga point sana tu, ila style yako ya kuiwasilisha ndio nakuwa siielewi saana. Chakulaa hata kama ni kitamu kiasi gani kama kitaletwa mezani kwa sahani chakavu au chafu kinapoteza thamani bro.
 
Last edited by a moderator:
Kalapina mpuuzi tu siku hizi uanaume pesa si kupgana...kupgana ilikuwa mwaka 1975 wote bangi na madawa yanawazuzua go to hell
 
Nimejikuta nacheka mwenyewe ati. Kalapina ana akili sana, sema tu basi. Msikilize anavyojieleza hapo chini..........................................

"Ukweli ni mambo ya fedheha, mdogo wetu Chidi Benz, nnacho weza kusema mdogo wetu ni kwamba unga anaovuta sasa hivi unampeleka pabaya umeona eeh, tena mimi kama kaka yake namshauri aachane na matumizi ya madawa ya kulevya kwasababu mwisho wake utampeleka pabaya, mimi niko back stage nna show yangu nipo kazini, tupo seious watu wa hiphop, miaka mingi tulikuwa tuna nadi amani hatutaki matatizo na watu unaona bana, hawa ni watu ambao kwa namna moja ama nyingine wanasababisha hiphop ishindwe kwenda mbele na kusababisha hiphop ishindwe kwenda mbele na kuwapa mafanikio watu wa hiphop.tumeandaa show yetu nzuri, ilikua bonge ya show moja kali ya hiphop Tanzania kuwahi kutokea, show ambayo imekutanisha wasanii wakali wa hiphop ambao sasa hivi wanavuma, mi niko back stage naskia sauti ya Chidi Benz ameshika mic, muda ambao mi natakiwa kuwa stage naperfom, sa Chidi Benz ametokea wapi mbona kwenye ratiba yetu ya show hayupo, anaongea ubabe anakamba.yupo stage mi niko back stage bado, mi nikawaambia watu wangu vipi, huyu mtu mbona mnamuachia anatuharibia show? hasa watu ujue, ujue msanii, yaani jana ndio nimekubali msanii ni mtu mwenye hadhi na heshima kubwa sana sema Chidi Benzi amejishushia hadhi yake na heshima yake .Watu wakawa wanashindwa kumfanya kitu wakiangalia huyu ni mtu maarufu anajulikana, watu wakawa wanamplease kiustaarabu, Chidi eeh shuka hii show haikuhusu, sasa watu walivyokuwa wanamplease akawa anaona labda watu mafala au nini umeona eeh.



sasa mimi kitendo kimechukua kama dakika saba au nane hivi, bado yuko tu stage ameng'ang'ania, ananichelewesha mimi muda wa kuperfom, watu wanataka kuona show yangu, watu wamelipa hela zao, wameacha shughuli zao waje kumuona kalapina, ye anataka kuzkwaza watu wasimuone Kala pinia, huyu mtoto si adui jamani......." amesema Kala Pina ..endelea kumsikiliza hapo chini

DJ Fetty: PINA ATOA SABABU ZA KUMPIGA CHIDI BENZ
 
huyu jamaa mbona anawajua wababe wake wapo a town..uku daslam ndo anaogopwa tu..ata yule abou nako wa N2N kala anamjua vizuri sana..na hawezi kumletea shida na ka mwili chake..jama amekomaa na ni mkorofi wa asili hategemei mob wala nini..ndo maana kalapina ikabidi aje na jeshi kubwa kumkabili...angalizo,..karateka za Pina uongo labda machuma chuma..nshamwona ata akirusha ngumi..yani yupo slow sana atafinywa skumoja..aendelee kukaa na mob karibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…