Kalapina aelezea sababu za kumchapa chidi benz jukwaani

fluid
Msidanganyane jamani enyi watuwa Arusha na wasanii wenu,hakuna msanii wa Arusha anaweza kupigana na Pina akiwa pekeyake,labda atumie mabeto yenu au wawe mob,huyo Bou Nako hawez kumfanya lolote Pina yeye kama yeye.Stay away from Pina aisee Dudubaya mwenyewe alisanda.
 
Last edited by a moderator:
block 41 hakuna kusanda. la familia wamembwanda hahahaaa....mia
 
Pina hanauwezo wa kumkalisha msanii Yeyote wa Arusha na wao wanalijua hilo maana itaile first time mkono kwa mkono kalapina na crew yake walochemka ndipo wakatoa zana,mnaijua hip hop au mnaongea!!mnaijua camp ya nako2nako au mnaongea tu!!!? Kujiunga tu kwa tizi upige non stop push up 200 ndio utaruhusiwa kufanya mazoezi nao na ukikubaliwa jua kila siku kabla ya mazoez n push up 1000
 

Achani kujidanganya enyi raia wa Arusha,unataka kusema GNAKO anaweza kumpiga Pina?

#LOL
 
nyie watoto wa arusha chexzen mbali na kikosi cha mizinga,mnajidanganya tu mkiwa huko arusha mnajifanya kubweka kwa mbali huku mikia ikiwa katikkati ya miguu ,mbona walivyokuja huku bongo hao akina N2N walitolewa kamasi mpaka kukimbilia polisi,mnadhani tumesahau?
 
Achani kujidanganya enyi raia wa Arusha,unataka kusema GNAKO anaweza kumpiga Pina?

#LOL

Nasema au kweli!pina hakuimba msamaha alipoona mambo magumu na akaamua kuomba msamaha wakatengeneza ngoma,hv ww hata hip hop unaijua ww na yanayitokea unajua au unasubir uandikiwe gazetn!!!?uenda ikawa leo ndio unajua kama jamaa wanangoma pamoja baada ya Pina kuombq msamaha
 
"Unafuga nguvu kwa vyuma, kurap we goigoi" Ngosha the Don Fid Q
 
"Unafuga nguvu kwa vyuma, kurap we goigoi" Ngosha the Don Fid Q

Naupenda sana huu mstari! Umebeba ujumbe mzito sana!

Kalapina analalamika Chidi Benz si mstaarabu, yeye aliyeamua kurusha ngumi kwa msanii mwenzie ndiye mstaarabu? Hakuna cha hardcore hip hop wala nini, kala Pina hajui mziki, analazimisha! Chukua Kalapina, weka na Fid Q, Nani Mkali?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nyie mnataka FID Q ale kichapo kupitia maneno yenu.muacheni ngosha wa watu!
 
KAlapina tunampa kwa kuanzia tu huyo jamaa..haha..hamna cha neema mitego wala nani...bora ukutane na jini kuliko huyo..uone kama manyama hayajamwisha...ACHENI ZENU, NYIE ,ARUSHA KUNA WATU HATARI JAMANI..MDOMO TU NDO HAWANA..ILA SUALA LA NOMA TU!..DAR BADO SANA..HAMNA MA RUDEBOY NYIE..HAMJUI NOMA..MDOMO MWINGI...YANI NATAMANI ATA NIKUPE KA SHORT TOUR KITAA KWANGU AFU UONE KAMA KIKOSI NI HIP HOP...TATIZO MNATISHWA NA MAMWILI NYIE, YANI KAMA NI VAGI, UKU WAMEZOEA JOMBA..NA UKIZIDISHA KIHEREHERE UNAPOTEZWA..HIVI UNADHANI PINA ANGEKUWA ARUSHA ANGEKUWA HAI?..Haha..bado sana..41 nimeenda..hata mimi mazoezi yao hayantishi..sema wanakaumoja flan kanawasaidia..tofauti na hapo...bado sana..
 

Hahahah huyo bwana mdogo sana,dar tuna marudeboy kibao usione huwasikii kwa mana siku hiz wanaotamba bongo ni wenye cheda,ila wapo tele siku likitokea vagi ndio utawajua wapo tele akina shaban ninja,master,lintu akina damme na wengine tele huyo kalapina ni kama dogo tu kwao, HUIJUI HISTORIA YA DAR SO KAA KIMYA! WACHIMBA CHUMVI WA APOLO
 
pina si ndio huyu miaka ya 2004 alikua anavaa mashuka kama mmsai kuendelezea mila
 
kuna yule teja...Ibra da hustler...anazurura tu dar...pina si ana mnyonga tu kwa mkono mmoja
 

Mkuu huyu Damme ni nani namsikia sikia sana
 
Mkuu huyu Damme ni nani namsikia sikia sana

ni mbabe wa kitaa maarufu sana bongo,ndio nashangaa watoto wa arusha wanatetemeka wakisikia pina je wakikutana na wababe wengine original si watazimia.hawaijui bongo wanchonga tu kisa wanaona maghorofa ya dar na wanadhani dar ni wachuumba! watuulize tuliokulia dar tutawaambia ishu za ndani zipo vp! na sio wanadandia treni kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…