Kalapina aelezea sababu za kumchapa chidi benz jukwaani

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
May 6, 2013 Baada ya muasisi wa harakati za hip hop Tanzania Kalapina kumchapa Rapper Chidi Benz katika jukwaa la maisha club alfajiri ya kuamkia leo, Kalapina ameelezea sababu za kutoa dozi hiyo kwa msanii mwenzake, namnukuu " ukweli ni mambo fedheha, mdogo wetu chidi benzi cocaine au heroin / unga anaovuta unampeleka pabaya, tena mimi kama kaka yake namshauri aachane na matumizi ya madawa kulevya, kwa sababu mwisho wake utakua m'baya, mimi nilikua back stage na ikafika zamu yangu kupanda jukwaani nikawa naskia sauti mtu anatamba jukwaani kwa dakika saba ama nane, alikua ananichelewesha kupanda, na ananiharibia show yangu, huyu mtu si adui, nikatoa amri mara tatu kama F.F.U aka kaidi ndipo nikamfata na kumpa dozi, siku akaanguka chini na mimi nikaendelea na show yangu, hakuna hata mtu mmoja atakaye kubali kuharibiwa kazi, hata rais Kikwete ukimharibia utaishia jela."
 
Kalapina bana! ila jamaa anafanya sana mazoezi na ni karateka wa miaka mingi Chid angeshuka kiungwana tu kuepusha balaa maana hata walinzi wanamuogopa huyu mtoto wa block 41!
 
dawa ya pina ni a town

Aliwachapa hata wale wakaishia kumtisha eti akienda Arusha atakoma while wao wanaishi hapa Dar na wanajua maskani yake block 41!! Wale watoto wa kaloleni wakaamua kutunga na nyimbo eti machafuko block 41 vs Kaloleni na mikwara kibao videoni while Pina action yake ilikuwa live hakuna cha video hahahaha!!

Btw Kalapina akue sasa maana nae umri umeenda aache utoto lol!

CC Muuza Sura , Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:
Halafu hili jamaa linapendaga misifa tu,hip hop yenyewe analazimisha tu.
 
kazi ipo bongo dot home sasa na yeye hatimae kachapwa duu kweli kila sehemu ina wababe wake..
 
May 6, 2013 Baada ya muasisi wa harakati za hip hop Tanzania Kalapina kumchapa Rapper Chidi Benz katika jukwaa la maisha club alfajiri ya kuamkia leo, Kalapina ameelezea sababu za kutoa dozi hiyo kwa msanii mwenzake, namnukuu " ukweli ni mambo fedheha, mdogo wetu chidi benzi cocaine au heroin / unga anaovuta unampeleka pabaya, tena mimi kama kaka yake namshauri aachane na matumizi ya madawa kulevya, kwa sababu mwisho wake utakua m'baya, mimi nilikua back stage na ikafika zamu yangu kupanda jukwaani nikawa naskia sauti mtu anatamba jukwaani kwa dakika saba ama nane, alikua ananichelewesha kupanda, na ananiharibia show yangu, huyu mtu si adui, nikatoa amri mara tatu kama F.F.U aka kaidi ndipo nikamfata na kumpa dozi, siku akaanguka chini na mimi nikaendelea na show yangu, hakuna hata mtu mmoja atakaye kubali kuharibiwa kazi, hata rais Kikwete ukimharibia utaishia jela."

Mshamba tu hana issue,angeonekana wa maana angeingia wakapiga mic battle
 
naomba
nitajie
wimbo
mmoja
alioimba
pina,please

tafuta kuna wimbo ambao naukubali mpaka kesho unaitwa MSTARI WA MBELE JAMAA KACHANA SANA NA BEAT ILIOTULIA YA MTU MZIMA MAJANI AKA KINYWELE KIMOJA
 
Aliwachapa hata wale wakaishia kumtisha eti akienda Arusha atakoma while wao wanaishi hapa Dar na wanajua maskani yake block 41!! Wale watoto wa kaloleni wakaamua kutunga na nyimbo eti machafuko block 41 vs Kaloleni na mikwara kibao videoni while Pina action yake ilikuwa live hakuna cha video hahahaha!!

Btw Kalapina akue sasa maana nae umri umeenda aache utoto lol!

CC Muuza Sura , Gang Chomba

waoza meno hawamuwezi Pina!kama wamekubali kuchapwa ugenini hata kwao watachapika labda wamchangie ila siyo man to man!Pina mikosi wamuache huyo dada Chidy Benz nasikia aliombwa sana na Pina akaleta usela ndo mtu mzima akaona kichapo ndo anachostahili
 
Chid katoboa pua mtoto mtamu nini? Ndo maana akili halina.
 
Labda Ngwair alienda kushtaki kushtaki kwa Pina.....
 
waoza meno hawamuwezi Pina!kama wamekubali kuchapwa ugenini hata kwao watachapika labda wamchangie ila siyo man to man!Pina mikosi wamuache huyo dada Chidy Benz nasikia aliombwa sana na Pina akaleta usela ndo mtu mzima akaona kichapo ndo anachostahili
Kwa jinsi alivyovamia jukwaa na kumpora MIC MC alafu akaanza kuongea mbovu alistahili kichapo.
 
Aaahh wapambane kutafuta pesa na maendeleo!ila Chid nae ana misifa sana...akileta hizo mchapeni sana tena!hatupendi maugomvi bana!
 
Back
Top Bottom