MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
pina mzee wa kugawa dozi
mwenyewe anasema hajampiga amemkanya!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pina mzee wa kugawa dozi
ila wewe ndo akili unazo................?
Acha upumbavu Heaven on earth hapa tunazungumzia Chidi na Pina
Wewe Pimbi nyinyi ndio mlioanza kusikiliza muziki baada ya kumjuwa Diamond, Kikosi cha miznga chini ya Kalapina wanapiga Hardcore Hiphop, mshamba kama wewe uliyekuja mjini na mbio za Mwenge au FUSO la ziara za Maulid huwezi kujuwa Kalapina anaimba nini.Hawa wasanii hawajitambui.Nakumbuka chid alipomchapa profesor jamii ilihuzunika na kulaani kutokana na heshma ya prof bt chid alipohojiwa radion akaonyesha kburi na kusema 'kwani ndo mara ya kwanza kumchapa?'
Leo amechapwa yeye sasa.Huyo kalapina nae hana ustaarabu coz hata style hana sijui ni nani anaweza kulipa kiingilio au kununua music anaofanya huyu jamaa Analazmisha utasema amekabwa.Zaidi kanuni ktk mchezo wa karate kwa huyu ----- ni zero kabisa.Inatia kichefuchefu
Duh lile teke Chid alirushwa utadhani Pina kapiga teke kuku!
Duh lile teke Chid alirushwa utadhani Pina kapiga teke kuku!
Duh lile teke Chid alirushwa utadhani Pina kapiga teke kuku!
Wewe Pimbi nyinyi ndio mlioanza kusikiliza muziki baada ya kumjuwa Diamond, Kikosi cha miznga chini ya Kalapina wanapiga Hardcore Hiphop, mshamba kama wewe uliyekuja mjini na mbio za Mwenge au FUSO la ziara za Maulid huwezi kujuwa Kalapina anaimba nini.
Tafuta nyimbo za KRS One na Naught by Nature hasa zile za mwanzoni ndio utajuwa hapa nazungumzia nini, usidhani kila msanii ni kubana puwa kama hao mapimbi wenzako.