mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Halafu hili jamaa linapendaga misifa tu,hip hop yenyewe analazimisha tu.
Kalapina analazimisha hiyo hiphop na kucheza filamu ,anafaa kuwa mgambo tu,asitake sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu hili jamaa linapendaga misifa tu,hip hop yenyewe analazimisha tu.
DAR HAINA RUDE BWAYS WEWE ACHA KULAZMISHA WEWE...eti damme,, muulize damme alifanywa nini sinza kwao na papaa master r.i.p..kaseja mwenyewe anamjua..ni vile kipaji chake kiliishia streets tu...arusha mwili wa mtu siyo kigezo bab..eti dar...sterotypes za kizembe tu..mi nipo dar natoka arusha na hamna kenge uku dar anayeniumiza kichwa ata mmoja...kila kitu eti mjifanye mwajua nyie...yani huyo ni mtoto mdogo sana ila ninauhakika timbwili lake hapa daslam wakulizuia ni wachache sana..elewa! alafu kuna wakubwa wa kazi kibao arusha hawana mawenge wametulia tu..ila ukijichanganya tena ulete na kiswahili cha kidaslma ndo umeharibu kabisaaaaaaaaaaa....take my word..dar bado sanaHahahah huyo bwana mdogo sana,dar tuna marudeboy kibao usione huwasikii kwa mana siku hiz wanaotamba bongo ni wenye cheda,ila wapo tele siku likitokea vagi ndio utawajua wapo tele akina shaban ninja,master,lintu akina damme na wengine tele huyo kalapina ni kama dogo tu kwao, HUIJUI HISTORIA YA DAR SO KAA KIMYA! WACHIMBA CHUMVI WA APOLO
DAR HAINA RUDE BWAYS WEWE ACHA KULAZMISHA WEWE...eti damme,, muulize damme alifanywa nini sinza kwao na papaa master r.i.p..kaseja mwenyewe anamjua..ni vile kipaji chake kiliishia streets tu...arusha mwili wa mtu siyo kigezo bab..eti dar...sterotypes za kizembe tu..mi nipo dar natoka arusha na hamna kenge uku dar anayeniumiza kichwa ata mmoja...kila kitu eti mjifanye mwajua nyie...yani huyo ni mtoto mdogo sana ila ninauhakika timbwili lake hapa daslam wakulizuia ni wachache sana..elewa! alafu kuna wakubwa wa kazi kibao arusha hawana mawenge wametulia tu..ila ukijichanganya tena ulete na kiswahili cha kidaslma ndo umeharibu kabisaaaaaaaaaaa....take my word..dar bado sana