Kalapina kafunguka kuwa Chidbenz alilazimisha kutoka sober house.

Kalapina kafunguka kuwa Chidbenz alilazimisha kutoka sober house.

dudubaya alishatoa ushauri kuhusu huyu mtu kuwa maeneo ya kuchimba makaburi yako mengi sana msiumize kichwa.
 
Mpaka MTU anakuwa teja huwa kuna stages kapitia... MTU kama chid Benz ameshakuwa kwenye stage ya mwisho ya madawa ya kulevya huitwa drug or chemical addiction ktk level hii si rahisi kama anavyofikilia kuwa anaweza kutibiwa kwa mwezi mmoja.... Ni kipindi kigumu saaaana
 
Back
Top Bottom