mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF
Tulipoingia awamu ya Tano W. Kalemani alitamba kuwa wenye viwanda kawekeze kwani hali ya umeme katika grid ya taifa ipo njema. Na akaisitiza mkoa utakaokatiwa umeme mameneja watawajibishwa.
Leo hii nipo kikazi sehemu nasubiri umeme siku ya tatu. Kiwanda kimesimama. Moshi na Arusha hawana wa kuwatetea tena maana wasumbufu wote walilambwa na chama kilabaki nguvu ya chama kimoja.
Leo hii adhabu wanayopata Moshi chini ya CCM ni kubwa mno. Mazoea ya kufanya vitu bila kihojiwa yamerudi Kwa kasi.
Kwa sasa naona hata hali ya uchafu Moshi inaanzia kurejea, wapiga debe wa màbasi wanavuta watu itadhani wanamkaba mwizi.
Kidogo cha upinzani sio cha kufurahia kwani tunakwenda kwenye mkwamo mwingi huku tukiaminishwa uchumi wa viwanda.
Tangia nirudishie zangu CCM kwa kweli sina furaha kwani tunarudi kule Kwa ndio mzee.