Beberu-mpya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 216 Reaction score 106 Mar 29, 2017 #1 Habari ya mjini ndo hii hapa acheni kutupa watoto ambao hamjawakusudia kuwapata kwa wakati.
KAWETELE JF-Expert Member Joined Dec 11, 2015 Posts 700 Reaction score 1,674 Mar 29, 2017 #2 YA UWONGO.... Unadhan kwa wanawake hawa watano wenye urefu wa mizunguko ya hedhi tofauti 28,30,35,21, na 32.. watakuwa na kalenda sawa?. kalenda kama hiyo iliandaliwa kwa ajili ya wanawake wenye urefu wa wa siku 28 TU.
YA UWONGO.... Unadhan kwa wanawake hawa watano wenye urefu wa mizunguko ya hedhi tofauti 28,30,35,21, na 32.. watakuwa na kalenda sawa?. kalenda kama hiyo iliandaliwa kwa ajili ya wanawake wenye urefu wa wa siku 28 TU.
B behora New Member Joined Jan 9, 2017 Posts 3 Reaction score 3 Mar 30, 2017 #3 Normal cycle 28 days. So minority wanaifal otherwise depending on some factors wataadjust kulingana na situation zao.
Normal cycle 28 days. So minority wanaifal otherwise depending on some factors wataadjust kulingana na situation zao.
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,553 Mar 30, 2017 #4 Kweli Mkuu asante hii itasaidia wengi