Kalenda ya Masoko kwa Baadhi ya Mazao Tanzania

Tunashukuru sana boss,hatuwezi kujivunia kilimo bila kuona faida nzuri katika kilimo,ni wakati wa kulima kibiashara sasa.
Japo mimi ni kijana ninaye taka kuinvest zaidi kwenye biashara ya kununua na kuuza ndio maana nimepe nda hii mada imeeleza soko mfano nyanya saivi ni deal, kulima bado kidogo.
 
Kama ni kupishana ni kidogo sana maana ukiangalia nyanya kwa sasaivi bei imeanza kua nzuri lakini kwa mkoa kama shinyanga bado bei yake ipo chini kidogo ila as time goes bei inazidi kuwa nzuri zaidi
 
Safi sana mkuu, nimeipenda kalenda yako.
Napenda kujua kama una tips zingine zaidi ya maelezo haya.
 
Safi sana mkuu, nimeipenda kalenda yako.
Napenda kujua kama una tips zingine zaidi ya maelezo haya.
Hakuna boss ila kuna mambo mazuri kuhusu kilimo biashara yanakuja hasa kwa mwaka 2019.Tuwe tu tayari maana kilimo ni maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…