Kali ya Mwaka 2023! Huduma kwa Wateja Tanesco haiko hewani

Kali ya Mwaka 2023! Huduma kwa Wateja Tanesco haiko hewani

Mpinzire

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
7,503
Reaction score
13,463
Naishi Tabata Chang😱mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?

Screenshot_2023-03-20-19-57-37-58_6ba589b35cca5ff8f234db69f4487e8f.jpg
 
Hili shirika akili zake linazijua lenyewe
 
Wanalidogosha makusudi ili wakitaka kuliuza mshangilie
 
Kwasasa naona wamerudi hewan baada ya kujaribu takriban dakika 10.
 
Naishi Tabata Chang😱mbe_ Dar es Salaam, siku 3 leo hakuna umeme kabisa! Napiga simu huduma kwa wateja eti najibiwa namba haipatikani! TANESCO usingizi gan huu mmelala?View attachment 2559539
0715768589
0684001068

Hotline za Tanesco Tabata hizo hapo ila andaa pesa ya hongo maana kabla ya kuja wanauliza kabisa kama una hela ya mafuta ili upate kipaumbele.

Na ukisema uwashtaki kwa mkubwa wao pale tabata Liwiti jibu utakalopewa ni kuwa shukuru wamekutatulia tatizo.

Kwa hapa JF wakikujibu watakwambia tupe namba yako ya simu na mita na eneo ulipo. Ujue hiyo ndio bye bye.

Kila la heri.
 
Hivi kwanini kituo permanent kama kile kilijengwa kwa makontena, hivi wendawazimu wataisha lini nchini?
 
0715768589
0684001068

Hotline za Tanesco Tabata hizo hapo ila andaa pesa ya hongo maana kabla ya kuja wanauliza kabisa kama una hela ya mafuta ili upate kipaumbele.

Na ukisema uwashtaki kwa mkubwa wao pale tabata Liwiti jibu utakalopewa ni kuwa shukuru wamekutatulia tatizo.

Kwa hapa JF wakikujibu watakwambia tupe namba yako ya simu na mita na eneo ulipo. Ujue hiyo ndio bye bye.

Kila la heri.
Noh! Kwasasa huduma kwa wateja ni namba niliyoweka katika attachment picture hapo tu, hizo za matawi walishaziua. Sasahiv unapiga simu hiyo tena kwa mkoa wote wa Dar alafu wao ndiyo wanashusha taarifa kwenye tawi husika
 
Ok
 
Kati ya mashirika nisiyoyapenda TZ ni hili jinamizi... Watu wanashindwa kufanya shughuli zao za kuwaingizia kipato kisa umeme umekatika.. Mda mwingine hata siku mbili mfululizo.. Hapa yenyewe usiku huu nipo k. Koo lakini umeme unawaka baadhi ya nyumba kwengine ni Mwendo wa majenereta.

TANESCO is a trash.
 
Napendekeza
Shirika la umeme TANZANIA Yaani TANESCO ifike mahali kuwe na mashirika mengine ya ugavi wa umeme watakutoa ushindani kwao
Shirika limeshalemewa kama ilivyokuwa TTCL Zamani kidogo so ni wakati wa fursa kwa mashirika mengine yenye kujua vyanzo vingine kuja kuwekeza TANZANIA

Kwa sasa kila uchao mara mitambo chakavu mara hali ya hewa mbovu huo mtindo ulishapitwa na wakati

Bunge litoe fursa kisheria ili kupata makampuni mengine wananchi tumechoka!
 
Back
Top Bottom