Hivi ni kweli wadau wa jf eti kuna chaguo la pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 wakati wame shinda kutokana na huaba washule sasa watachaguliwa awamu ya pili? daah kama nikweli majanga hata advance ameanza kupokea awamu yapili!>
>vipi sasa kwa mtindo huu tutapata elimu bora au bora elimu??