Kali ya mwaka2014/2015

Kali ya mwaka2014/2015

Joined
Mar 29, 2014
Posts
26
Reaction score
9
Hivi ni kweli wadau wa jf eti kuna chaguo la pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 wakati wame shinda kutokana na huaba washule sasa watachaguliwa awamu ya pili? daah kama nikweli majanga hata advance ameanza kupokea awamu yapili!>
>vipi sasa kwa mtindo huu tutapata elimu bora au bora elimu??
 
Hivi ni kweli wadau
wa jf eti kuna chaguo la pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na
kidato cha 5 wakati wame shinda kutokana na huaba washule sasa
wata chaguliwa awamu ya pili? daah kama nikweli majanga hata advance
ameanza kupokea awamu yapili!>
>vipi sasa kwa mtindo huu tutapata elimu bora au bora elimu??

kumbuka kuna wanafunz wamechaguliwa lakin tayar wapo mashule ya private/wamesha apply vyuon na wengine wapo nje ya nch
 
Hivi ni kweli wadau wa jf eti kuna chaguo la pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 wakati wame shinda kutokana na huaba washule sasa watachaguliwa awamu ya pili? daah kama nikweli majanga hata advance ameanza kupokea awamu yapili!>
>vipi sasa kwa mtindo huu tutapata elimu bora au bora elimu??

Kawaida mbona. Miaka yote huwa ina chaguo la pili!
OVER!
 
Hivi ni kweli wadau wa jf eti kuna chaguo la pili kwa wale ambao hawakuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 wakati wame shinda kutokana na huaba washule sasa watachaguliwa awamu ya pili? daah kama nikweli majanga hata advance ameanza kupokea awamu yapili!>
>vipi sasa kwa mtindo huu tutapata elimu bora au bora elimu??

kwani umeambiwa walio feli hawana akili? Waache wakubwa wafanye yao tulia
 
Wala hii sio mara ya kwanza imekuwa ikifanyika miaka nenda rudi. ni kwa ajili ya kujaza nafasi za wanafunzi ambao walichaguliwa mara ya kwanza lakini wakashindwa kuripoti
 
Hakuna chaguo la pili hapa,ndo mana wizara imetoa nafax za kuomba diploma vyuo vya ualimu
 
Back
Top Bottom