Kalilo Kitokololo alikuwa noma sana kwenye ngwasuma

Kalilo Kitokololo alikuwa noma sana kwenye ngwasuma

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Posts
14,478
Reaction score
18,341
Huyu jamaa kwenye ngwasuma alikua moto mbaya sana.

Naweza kumfananisha na Chameleon kwa werrrason sasa hivi. Pia zamani sana kulikua na na dogo kule beta la muzika totoo ze bingwa nae alikua balaa.

Nimewakumbuka tu baada ya kuskia kifo cha malu stonch🙏. Diouf nae yumo ingawa alipigika hapo kati.

Nakuja soon mwana masanja 😪.
 
Nimekumbuka 2014 Ilipigwa show matata sana pale villa park Mwanza na FM Academia. 2005 to 2015 was the best era kwenye music wa dansi Tanzania.

Malu stonchi. Amefariki kwa chanzo gani?
 
Kwakweli ilikuwa ni moto wa kuotea Mbali FM Academia wlikuwa wako njema sana. Malu stonchi P umzika kwa amani kamanda.
 
Back
Top Bottom