Kalimangonga ongala yupo wapi

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858

yule straika hatari wa yanga ya daressalaam aliyetoa mchango mkubwa kule kampala, uganda na kupelekea yanga kuchukua ubingwa wa afrika mashariki na kati mwaka 1999 yupo wapi kwa sasa?
Huwa yule dogo alikuwa akinivutia sana staili yake ya uchezaji.
Mara ya mwisho nilisikia alikuwa akichezea timu ya daraja la kwanza kule sweden ,tena kuna kipindi fulani niliona kupitia mtandao alikuwa kama sio leading score wa timu yake basi alikuwa leading score wa ligi yenyewe(sikumbuki vizuri mwenye data anisahihishe).
Hata kipindi fulani maximo alitaka kumuita naamini angetoa mchango mkubwa kwa taifa stars.
 
Kali Ongala yupo klabu hii hapa GIF Sundsvall - Norrlandslaget ama waweza pia kusoma habari zake hapa Kali Ongala - Wikipedia, the free encyclopedia

Thanks for reminding us of our heroes; i knew him enzi za sinza na bomu fc; hakuwa na futi 6 na inchi moja [186 cm] ---maana yake ameongezeka; na hilo ndio tatizo la wabongo, wengi ni akina andunje!!!!!

He is still flagged Tanzanian kwenye hiyo link, lets not lose these fellas and try our best to make them play for Tanzania at elast one more time

we may learn from them
 


Hes more than 30 yrs old sidhani kama anamsaada sana!
 
Jamaa tulikuwa naye new year, umri nao unaanza kumshika sasa.
 
Hes more than 30 yrs old sidhani kama anamsaada sana!

Ni kweli mkuu...ila sometimes tunahitaji uzoefu na "the other side perspective" ni kama ya akina Beckham, Thiery, Del Piero, Benni McArthy etc.

No more expectations from him though
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…