Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
mkjj na yule mama maajar wa uk atapelekwa wapi sasa?
Nadhani mama Maajar atakuwa ameomba kurudi home kwenye legal firm yake na Dada yake Mwanaidi, Epitome. Firm yao ni investment lawyers, hawadeal na litigations.MKJJ na yule mama Maajar wa UK atapelekwa wapi sasa?
MKJJ wa bandari yupi huyoo??
Game Theory teh teh teh
Long live kainzi. Kwa hiyo Mlima anapelekwa Canada. A Swedish citizen representing Tanzania in Canada. How sweet!
Game Theory teh teh teh
Dr Mahiga kaenda wapi? Nilidhani yeye ni kati ya mabalozi wazuri tuliowahi kuwa nao ukimwondoa SAS!
WHAT???Long live kainzi. Kwa hiyo Mlima anapelekwa Canada. A Swedish citizen representing Tanzania in Canada. How sweet!
Dr Mahiga kaenda wapi? Nilidhani yeye ni kati ya mabalozi wazuri tuliowahi kuwa nao ukimwondoa SAS!