S sikujua Member Joined Feb 23, 2010 Posts 8 Reaction score 0 Jun 23, 2010 #21 hvi na Omar aliyekuwa mkuu wa chuo cha Diplomasia amepelekwa wapi? kwani naona kapelekwa mtu mwingine
hvi na Omar aliyekuwa mkuu wa chuo cha Diplomasia amepelekwa wapi? kwani naona kapelekwa mtu mwingine
K Kekuye Senior Member Joined Jun 28, 2009 Posts 116 Reaction score 0 Jun 23, 2010 #22 sikujua said: hvi na Omar aliyekuwa mkuu wa chuo cha Diplomasia amepelekwa wapi? kwani naona kapelekwa mtu mwingine Click to expand... Aliteuliwa balozi Saudi Arabia.
sikujua said: hvi na Omar aliyekuwa mkuu wa chuo cha Diplomasia amepelekwa wapi? kwani naona kapelekwa mtu mwingine Click to expand... Aliteuliwa balozi Saudi Arabia.
M Marigwe JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 228 Reaction score 18 Jun 23, 2010 #23 Wewe Mwanakijiji na wenzenu yaani mnayoyaeleza mengi ni pumba tupu. Yaani mwatia kichefuchefu haswa aagh
Wewe Mwanakijiji na wenzenu yaani mnayoyaeleza mengi ni pumba tupu. Yaani mwatia kichefuchefu haswa aagh
W WildCard JF-Expert Member Joined Apr 22, 2008 Posts 7,505 Reaction score 2,416 Jun 24, 2010 #24 S. S. Phares said: Vigezo gani unatumia kuweza kujiamini na kusema fulani alikuwa Balozi mzuri wa Tanzania? Click to expand... Mlinganishe na Mahalu, Mpungwe, Ali Karume,.....utapata jibu.
S. S. Phares said: Vigezo gani unatumia kuweza kujiamini na kusema fulani alikuwa Balozi mzuri wa Tanzania? Click to expand... Mlinganishe na Mahalu, Mpungwe, Ali Karume,.....utapata jibu.