Kally Ongalla maneno mengi ya majigambo lakini uwezo mdogo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Jana Kally Ongala, mtoto wa mwanamuziki wa zamani nchini Remmy Ongala na kocha wa azam aliongea maneno ya shombo akijiona yeye ndio bonge la kocha na ana uwezo kuliko kocha yoyote yule.

Akijifanya hajui kiswahili vzr wakat kashakaa sana kitaa na kuchezea Abajalo Leo kachezea kichapo na mdomo kaufunga.

Azam huyo Kalimangonga Ongala ni kocha mdogo sana, mwakani mtaendelea kusindikiza.
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Yanga bingwa.
 
Kwa uwekezaji wa azam, bila kupata wachezaji wazuri
 
Bahasha za jiesiemu zimeendelea kununua ushindi🤣

Na hapo jamaa la kutetema hakuwepo.
 
huyo hana cheti cha ukocha
 
Kally dlichezea pia Yanga ,akawatungua Makolokwin,golini alikuwa Mohamed Mwameja.
 
Halafu huyu Kally Ongala si ni Yanga lia lia huyu ?
 
Azam Kuna vitu wanachanganya kati ya utajiri wa bakhresa na utendaji wao wa kazi
 
Azam huyo Kalimangonga Ongala ni kocha mdogo sana, mwakani mtaendelea kusindikiza.
Kocha wa hovyo sana. Hana vyeti na hana hata ujuzi wa kufundisha . Ni vile tu anajuana na Yusufu bakhera pale chamazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…