Kalonzo Musyoka, Moses Wetangula na Musalia Mudavadi wananafasi gani kwenye Siasa za Kenya?

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Majina yao yapo kwenye siasa za Kenya.

Watajwa hapo juu wamekaa kwenye siasa ya Kenya kwa muda sasa na ni nguli wa Siasa za Kenya miaka mingi sana.

Je, watajwa hapo juu wananafasi ipi kwenye siasa za Kenya?

Je, wanaweza kubadili chochote au wanaweza kuchange game za kisiasa muda wowote nchini Kenya.

Au wao huwa ni wasindikizaji na hawana madhara yoyote kwa mabadiliko ya siasa ya Kenya?
 
Hayo ni mabendera fuata upepo tu, wewe anzisha lichama lolote wao akina mudavadi wapo tu kama hawa wa kukupigia debe
 
Back
Top Bottom