V Victor 20 Senior Member Joined Aug 14, 2013 Posts 146 Reaction score 15 Oct 14, 2013 #1 ada yake ipo vipi? masomo yanaanza lini? JE ni kizuri? kimesajiliwa? msaada tafadhari wakuu
M MahinaVeterani JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 710 Reaction score 256 Oct 15, 2013 #2 tembelea www.kamcollegeofhealhscience.com utapata baadhi ya majawabu. Ningekushauri uwatwangie kupata maelezo zaidi. Wasiwasi wangu simu yako ikipokekewa na Msichana wa Mapokezi unaweza kukata tamaa - customer care kwake ni zero!
tembelea www.kamcollegeofhealhscience.com utapata baadhi ya majawabu. Ningekushauri uwatwangie kupata maelezo zaidi. Wasiwasi wangu simu yako ikipokekewa na Msichana wa Mapokezi unaweza kukata tamaa - customer care kwake ni zero!