Nikhil
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 361
- 120
Habari zenu all jf members!
Wakuu najua humu jamvini wako watu ambao wame apply Kam college na vyuo vingine vya private kutokana na hofu iliyotanda juu ya compition kuwa kubwa katika vyuo vya goverment.
Ili kutimiza ndoto zetu kama mimi nilituma maombi ya diploma wizara ya Afya laakini kutokana na matokeo yangu ya 0 level kuna uwezekano wa kukosa kwa kuwa inahisiwa walioaply wengine wameua six.
BACK TO TOPIC
Wakuu kwa walio omba hapa tujuzane kuhusu tarehe ya kuwasili chuo na requirement zote wanazohitaji ..
Nisaidieni manake niko mbali kidogo
Natanguliza sukrani .

KAM COLLEGE OF HEALTH SCIENCE INAPENDA KUWAARIFU WANAFUNZI WOTE WALIOOMBA KUPITIA CENTRAL ADMISSION SYSTEM (CAS) NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO CHA KAM KWA KOZI ZOTE KUWA USAILI UNAENDELEA NA MASOMO YATAANZA RASMI TAREHE 22/09/2014 KWA MAWASILIANO
PIGA SIMU:-0713/0784 – 615663
E-mail: musikatz@yahoo.com, kamcollegehealthtz@yahoo.com
AHSANTENIWOTE MNAKARIBISHWA