Endelea na tafiti, utajijibu mwenyeweKama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni nyingi sana???
Mkuu umeme WA maji huzalishwa kutegemea na height ya hilo dam, sasa Rusumo height tayari ipo yaani ni maporomoko wakati Rufiji maporomoko yatatengenezwaKama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni nyingi sana???
Kama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni nyingi sana???
Moderator badilisha title isomeke 400,000,000 $ badala ya 400,000$ kwenye titleKama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni cahache sane lakini ikakubali kujenga kwa pesa nying nyingi sana kwa mradi wa Rusumo?
Kama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni nyingi sana???
Watakuambia kuwa kuna uvunaji wa mitiKama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni cahache sane lakini ikakubali kujenga kwa pesa nying nyingi sana kwa mradi wa Rusumo?
Kimla, hesabu zako hazijakaa sawa kabisa $400,0000 au $400,000,000 kajifunze kuandika ndiyo uje uposit upupu wako hapa.Kama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni cahache sane lakini ikakubali kujenga kwa pesa nying nyingi sana kwa mradi wa Rusumo?
HEBU TULIA ANDIKA UPYA UZI WAKO....HAUELEWEKI KABISAKama bonde la Rusumo litazalisha Megawat 80 kwa gharama ya ujenzi ys dolla 400,000,000 je Megawati 2100 zitazalishwa kwa uwekezaji kiasi gani? Kwa hesabu za mlinganisho ni kuwa Rufiji inabidi ijengwe kwa dolla 10,500,000,000. Kwanini Serikali inajenga mradi wa rufiji kwa dolla 2.9 Billion au2,900,000,000 ambazo ni cahache sane lakini ikakubali kujenga kwa pesa nying nyingi sana kwa mradi wa Rusumo?
HujaelewaHizo $400m dollar ni mchango wa nchi tatu si Tanzanian wanayoa zote na ni mkopo toka world Bank... Kila nchi itapata MG kutokana na % ya mkopo waliochukua WB.....taarifa zaidi nenda website ya wizara ya ujenzi za Rwanda,Burundi na tz na website ya WB hizi information zipo
Sent using Jamii Forums mobile app