huko kwenu $400m ni kubwa kuliko $2.9b?Hujaelewa wala hujajibu swali,
Anauliza kwa nini megawati 80 zinazalishiwa kwa $400m ambayo ni gharama ya juu sana na megawati 2100 kwa $2.9b ambayo ni chini sana, pasipo kujali nani analipa kiasi gani katika kuchangia.
Sent using Jamii Forums mobile app
huko kwenu $400m ni kubwa kuliko $2.9b?
huko kwenu $400m ni kubwa kuliko $2.9b?
Kubali kwamba umekosea, tangu lini million 400 ikawa kubwa kuliko bilion 2.9?Umewazaje kufungua account JF kama unataka kufafanuliwa mlinganisho simple kama huu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mtaalam hizo hydroelectric power mkuu nimesomea hizoWe umeshafika hapo Rusumo au unaongela tu
Sent using Damu ya Yesu
Mi
Mimi ni mtaalam hizo hydroelectric power mkuu nimesomea hizo
Mi
Mimi ni mtaalam hizo hydroelectric power mkuu nimesomea hizo
Safi aise ukinitumia picha nitaelewa tu kwanini gharama imekuwa ndogoKesho ntapandisha picha uone kilichofanyika hapa
Sent using Damu ya Yesu
Pia umbali kutoka bandari na kusafirisha mitambo. Rusumo ni mbali sana.Factors ni nyingi
Rusumo ni mali ya nchi 3,Stiglers gourge ni mali ya Tanzania tu.
Rusumo ni mkopo toka Word Bank,wakati Bwawa la Rufiji ni pesa za serikali.
Wakandarasi ni Tofauti.
Waliofanya mapatano ya mikataba ni watu tofauti
Arab Contractor ni kampuni ya serikali ya Misri,mkataba wao upo nafuu kuna siasa ndani tofauti na Rusumo.
Fidia ni sawa sawa na hakuna kwenye eneo la bwawa la Rufiji.Wakati Rusumo kuna maeneo yalihitaji fidia.
Nadhani umeenda nje ya mada, mtoa post anazungumzia kutumia $400m kwa MG80, halafu huku mnatumia $2.9 billion kwa MG 2100 kuna uhalisia au kuna mtu anapigwa?Hizo $400m dollar ni mchango wa nchi tatu si Tanzanian wanayoa zote na ni mkopo toka world Bank... Kila nchi itapata MG kutokana na % ya mkopo waliochukua WB.....taarifa zaidi nenda website ya wizara ya ujenzi za Rwanda,Burundi na tz na website ya WB hizi information zipo
Sent using Jamii Forums mobile app