GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimemsikia Kocha Mkuu Sven kuwa Wachezaji wetu muhimu, mahiri na tegemezi kabisa katika Kuamua 'Ushindi' Kiungo Clatous Chama na Washambuliaji Meddie Kagere na Chris Mugalu Kesho 'watakosekana' katika Mtanange wetu muhimu na Wapinzani wetu Yanga SC.
GENTAMYCINE nasema kama Kocha amesema haya kama tu sehemu ya 'Mind Game' kwa Wapinzani wetu basi namuunga mkono kwa 100% ila kama ni kweli 'watakosekana' na hasa hasa kwa 'Play maker' Chama na 'Goal Machine' Mugalu kutokana na kuwa 'Majeruhi' Kesho Simba SC 'tukifungwa' lawama zangu nitazipeleka kwa Uongozi mzima wa Klabu yetu ya Simba SC.
Kwanini 'nalaumu' Jibu ni 'jepesi' tu kwamba kulikuwa na 'Umuhimu' gani wa Juzi 'Kuwachezesha' hawa Wachezaji 'mahiri' na 'muhimu' dhdi ya Kagera Sugar FC huku tukujiua kuwa tuna huu 'Mtanange' wetu muhimu wa Kesho Jumamosi dhidi ya Yanga SC? Kwani 'wangetumika' Wachezaji wengine ambao huwa hawapati nafasi Kikosini bado tu 'tusingeshinda' ile Juzi?
Hata hivyo nitumie nafasi hii pia 'Kuwaonya' Yanga SC ambao najua taarifa ya kwamba Chama na Mugalu hawatakuwepo kwani wametegwa sana.