Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Wabongo washamba sana.
Ibakie tuwashabiki na Mpira umeisha nilikuwa upande wa mfaransa wewe ajentina usiingize masuala ya utumwani Kwa kuwa kama alioutumwani Messi na mbappe ndgu yako sio Messi.
Unaliona lijitu linafanana kabisa copyright na Upemakano yaani utadhani baba na mama mmoja Ile Toka nitoke