GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kampuni ya Silent Ocean imeipa Ahadi ya Tsh Milioni 20 kama itashinda na Tsh Milioni 10 kama Timu ya Prisons FC itatoka Sare dhidi ya Yanga SC Jumapili ya tarehe 4 December, 2022.
Nakumbuka Kampuni hii hi ilipoiwekea Ubaoni Ahadi hii Timu ya Prisons FC ili iifunge Simba SC Watu wa Yanga SC mlifurahia mno hivyo kwa sasa mtuvumilie na Sisi wana Simba SC ambao pia tunaenda Kufurahia kile kile kinachofanywa na Kampuni hii ya Silent Ocean.
Kudadadeki.