Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa mtazamo wangu, hili ndio tatizo la msingi la huyu bwana kutaka kuendelea kukakilia hicho kiti. Nina wasiwasi kuwa alishakula hela za watu kwa shariti hilo na sasa asipogombea atakuwa ameenda kinyume na makubaliano.
Kwahiyo, huyu bwana hafai hata kidogo na akirudi madarakani, basi chama sio tu kitakuwa kimekufa, bali kitakuwa ni CCM B na wabunge ataopewa kwenye uchaguzi wa mwaka huu, watakuwa ni wagonga meza tu pale mjengoni.
Kwa msingi huo, tutarajie kuona matumizi makubwa ya fedha kwenye huu uchaguzi na zaidi figisu za kutosha kwa mgombea ambae anampa upinzani mkali.
NB: Kuvuliwa uongozi kwa huyu mwenyekiti mmoja, inaweza kuwa ni njama(janja) tu ya kuandaa mazingira ya kumvua uanachama mpinzani wake kabla ya siku ya uchaguzi. Hivyo, msishangae kesho akaja na malalamiko ya kudhalilishwa na mpinzani wake na kutangaza kuwa amewasilisha malalamiko yake rasimi kwenye chama.
Time will tell.