Kale kamsemo mama hana deni du
Naona umemchamba kweli kweli na chawa wake!1. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ??
Anahofia nini ?
2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have kwa myaka 15 on roll ?? What makes her special to that extent ? ..why anadharau Watanzania wengine ??
3. Je kama ni mali na uchumi up to now amekosa nini kutoka kwenye posho ba marupurupu ya myaka 10 yote alokaa ikulu ??
Hajapata v8 ??
Hajapata connection za wane ambao wanapita kuwahonga hadi wanasiasa waupinzani na huku wengine wamepewa majimbo ??
4. Anajiona anauimara upi sana sana wakati hata rasilimali za taifa letu anaziuza kwa rafiki zake ??
5. Hajaweza hata kugenerate fedha za campaign yake .. atawezaje kuwa creative kwakutengeneza ajira na mahitaji mengine muhimu kwa watu ?
6. Wazee walostaff unawarudisha kwenye teuzi zako kila leo .. unatuhakikishia vipi kama unauwezo wa kuibua na kulea taifa na hasa damu mpya changa zinazohitaji sana Sana.
7. Mama tukinao are you alright upstairs ??
Okay tuseme tumewaelewa machawa wake wote kuwa maza anaupiga mwingi na uchaguzi wa 2025 atashinda kwa kishindo, kwanini pawe na kukandamizwa na kutokusikulizwa kwa wapinzani wa kweli na mnahangaika kutemgeneza wapinzani vimvuli ???
Njama za usaliti na uhani zimezimwa ndio maana wabwatukaji wanepata mshtuko.Kale kamsemo mama hana deni du
Mnaogopesha sana umma wa watz. Uongozi mbovu af kutoka kwa amani hamtaki.Njama za usaliti na uhani zimezimwa ndio maana wabwatukaji wanepata mshtuko.
Mama atakaa white house mpaka 2035 atakapo maliza rasmi mihula yake miwili.
2035 Tanzania itakua mbali
Rubbish MAMA tunae mpaka 20301. Kama anajiamini kwanini hakuchukua form ndani ya chama chake na kupitia mifumo yote rasmi na aka bypass steps ??
Anahofia nini ?
2. Je anadhani yeye ndo the best president we could ever have kwa myaka 15 on roll ?? What makes her special to that extent ? ..why anadharau Watanzania wengine ??
3. Je kama ni mali na uchumi up to now amekosa nini kutoka kwenye posho ba marupurupu ya myaka 10 yote alokaa ikulu ??
Hajapata v8 ??
Hajapata connection za wane ambao wanapita kuwahonga hadi wanasiasa waupinzani na huku wengine wamepewa majimbo ??
4. Anajiona anauimara upi sana sana wakati hata rasilimali za taifa letu anaziuza kwa rafiki zake ??
5. Hajaweza hata kugenerate fedha za campaign yake .. atawezaje kuwa creative kwakutengeneza ajira na mahitaji mengine muhimu kwa watu ?
6. Wazee walostaff unawarudisha kwenye teuzi zako kila leo .. unatuhakikishia vipi kama unauwezo wa kuibua na kulea taifa na hasa damu mpya changa zinazohitaji sana Sana.
7. Mama tukinao are you alright upstairs ??
Okay tuseme tumewaelewa machawa wake wote kuwa maza anaupiga mwingi na uchaguzi wa 2025 atashinda kwa kishindo, kwanini pawe na kukandamizwa na kutokusikulizwa kwa wapinzani wa kweli na mnahangaika kutemgeneza wapinzani vimvuli ???
Unasahau mapema,Jaman si huyuhapa keshachukua form ?