Pole sana kwa kujiskia vibaya, wenzako pale ndio wanatafuta soko.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Kwasababu gani wanandoa au wapenzi wanajiachia mpaka wanafikia kujirekodi video za uchi? Kwani mnakua hamridhiki kuangaliana bila kurekodiana?
Kwani mwaka gani itakua mwisho wa kumdharirisha mwanamke?africa inaongoza kwa kudharirisha mwanamke[emoji22][emoji22]Its hurts!
Kwenye huo upuuzi hakuna kudharirishwa yaani mtu ukubali kuchukuliwa video kisha useme umedharirishwa.kumdharirisha mwanamke?africa inaongoza kwa kudharirisha mwanamkeπ’
Kipi kilichopelekea ujisikie vibaya kwa starehe ya mwengine.Nimejisikia vibaya on behalf of menina..anyways thanks
Kwa hiyo kurekodi ni kudharirisha mwanamke! Bila kujari nani karekodi? Kazi ipo!Kwasababu gani wanandoa au wapenzi wanajiachia mpaka wanafikia kujirekodi video za uchi? Kwani mnakua hamridhiki kuangaliana bila kurekodiana?
Kwani mwaka gani itakua mwisho wa kumdharirisha mwanamke?africa inaongoza kwa kudharirisha mwanamke[emoji22][emoji22]Its hurts!
Mbuzi Kala MkekaNimejisikia vibaya on behalf of menina..anyways thanks
Pole sana menina..
Ila nimeangalia ile video iliovuja ni kwamba haujarekodiwa ila mmejirecord wote,unaangalia camera kwa bashasha kabisa ukiichekea na kuililia camera kimahaba ya hali ya juu. Unasimama unaenda kuiset mwenyewe halafu unakuja hapa kusema umerekodiwa???
Pole sana mzeemama
Hakuna mwanaume anaemrekodi mke wake na ku leak picha zake. Wanaorekodiwa na kusambazwa picha zao wote ni wale tu wanaofanya umalaya. Unaendaje kulala na mwanaume asiekua mume wako kisha picha/videos zako zikisambaa unata uonewe huruma really? NO. Mimi nasema wale wote wanaofanya ufuska warekodiwe na picha zao zisambae huenda wakakoma kufanya hio michezo michafu. OverYe i admit nimemuonea huruma menina kwasababu ana mtoto ambae anamuhitaji mama ake lakini jnafikiri uyo menina atakua yuko okay?atakua over stressed mpaka mwaka uishe huu. Vile vile nimesema kuacha kuwadharirisha wanawake kwa mfano wanawake wengine ambao wanarekodiwa bila kujua utakuta a guy invited his girlfriend afu ametegesha camera..watu wengi wanarekodiwa bila kujua na wengine wanajirekodigi wenyewe kama yule biriani alijirekodi mwenyewe na wengine wote ..so in general kama watu wazima inahitajika kujiheshimu sio eti mmeachana basi ndo unapata nafaso ya kupost zile videos..
Mwanadamu sio was kumuamini kiiivyo. Tena istoshe n mtu unaejua ana mke na watto. Hupat picha ya kudanganyw tu?We utajuaje labda ile simu aliotumia ilikua ya bwana ake na amefanya ivo kwasababu ya mapenzi na kumuamini uyo mwanaume.
Unavyoonekana una potentials za kufanya ukahaba huko mbeleni kwa kuamini kuwa TUNAPASWA KUKUHURUMIA. Mbona wanawake wanaojiheshimu hatujawaona wakirekodiwa?We utajuaje labda ile simu aliotumia ilikua ya bwana ake na amefanya ivo kwasababu ya mapenzi na kumuamini uyo mwanaume.