Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
CCM kama chama Cha kisiasa Kiko safi kiitikadi...no problem about that....the only problem and which is a huge and serious problem ni kwamba chama kimetekwa na matajiri wakiwemo wale wasio na interests za maslahi ya umma Bali interests zao wenyewe binafsi...Hamjambo!
Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa.
Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya uhalifu, wizi na viongozi wake ni haramu. Kwani kwa majibu wa Polepole wanatokana na wizi wa kuiba kura.
Sasa kama Kura zinaibiwa na ni tukio linafahamika vipi mambo mengine yasiyofahamika. Yale ya siri.
Vipi mikataba?
Polepole anajaribu kusema jambo kubwa sana ambalo sio tuu ni uhalifu bali linatia aibu na kufedhehesha watanzania.
Kwamba nini? Watanzania viongozi ni haramu?
Kwamba nini? Uchaguzi ni kiini Macho?
Kwamba kitu gani? Hakuna haja ya kupiga Kura?
Kwamba nini? Tunaowahita waheshimiwa kumbe hawana heshima yoyote kwani wametokana na kuiba kura? Kweli?
Polepole unatuambia nini? Tukueleweeeje!
Kwamba nini? Wewe umejiudhulu kwa hatia ya kuona unatumikia haramu? Really?
Kwa nini tukuamini?
Nini tufanye? Nani tumuamini?
Yaani unajaribu kusema Chama cha ukombozi kilichojenga heshima yake kwa miaka nenda rudi tangu Uhuru kwamba heshima yake ni ngozi ya kondoo lakini ndani mbwa mwitu!
Wewe Polepole!
Haya!
Maswali yako yote yanajibiwa na sentensi moja tu ya mgombea mmoja 2020Hamjambo!

Maswali yako yote yanajibiwa na sentensi moja tu ya mgombea mmoja 2020
"Hata mkipiga kura kule kwingine Ccm itashinda tu"
Serikali zote duniani niza kiharamia, tofauti ya uharamia wao na hawa wakwetu, wao wanawapa watu wao maisha mazuri, ila hawa wakwetu wanafanya watu wao kuwa masikini ili wawatawale kirahisi bila kutumia akili nyingi.
safarini Khartoum Sudani.
Una ushahidi we boya au unajiandikia tu? Muulize Ezekiel Kamwaga Jana lala spana sidhani kama atarudia ule uchawa wa kumponda PolepoleAmeshindwa kuwa kiongozi Mwenye UTU na NCHI yake Ameamua kupambania maslahi yake kulipwa PESA na watu kwajili ya kuhamasisha ujinga kwa baadhi ya watanzania wenye Roho ya Ukawan
#Haijapatakutokea
#Kurayakwanzakwasamia