Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Wanaume wanapambana wanapigwa wewe dada Mary unakuja kusema hawakuwa serious tuliza kijambio dada na walikuwa home LeoHizi timu za kuokota zinadhalilisha sana ligi ya mabingwa afrika, we unaingia ligi ya mabingwa halafu unaomba mechi zote ucheze ugenini una akili wewe?
Vipi dodoma jiji Leo mmewachezea half ground ila mmepata mbili tuUto kajipia Lonya fc..
mpira wa siku hizi wa ajabu sanaVipi dodoma jiji Leo mmewachezea half ground ila mmepata mbili tu
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
We jamaa unaumia sana ...TATIZO NINI?VUMILIA TU MKUUHizi timu za kuokota zinadhalilisha sana ligi ya mabingwa Afrika, we unaingia ligi ya mabingwa halafu unaomba mechi zote ucheze ugenini una akili wewe?
Chomoa kama INAUMAUkweli ni Kuwa Ni Yanga ndio inayojitafuta...!
Mpaka sasa inajaribu Pengine Mzize anaweza kuliziba Pengo La Mayele..!
Lkn huku Unyamani Generali Phiri ana struggle kuingia first eleven..! Kwa Uwezo ule bado anatafuta..yaani tema mate chini.!
Pale nyuma...Kuna Duchu na Mwenda...Eti hawa wanasubiri..hivi kwenye timu ipi hawa wanaweza kuwekwa Benchi TZ hii..jibu hakuna..
Achaneni na wachambuzi mchongo..!
Horoya kafa 7 hapa...Eti Timu inaitwa ASAS MAZIWA unapata only '2'...!
Kwani Yanga si mmetoka kucheza nao juzi?Ukweli ni Kuwa Ni Yanga ndio inayojitafuta...!
Mpaka sasa inajaribu Pengine Mzize anaweza kuliziba Pengo La Mayele..!
Lkn huku Unyamani Generali Phiri ana struggle kuingia first eleven..! Kwa Uwezo ule bado anatafuta..yaani tema mate chini.!
Pale nyuma...Kuna Duchu na Mwenda...Eti hawa wanasubiri..hivi kwenye timu ipi hawa wanaweza kuwekwa Benchi TZ hii..jibu hakuna..
Achaneni na wachambuzi mchongo..!
Horoya kafa 7 hapa...Eti Timu inaitwa ASAS MAZIWA unapata only '2'...!
Unaelimisha zuzu hilo mkuu wao wenyewe walikua wanaomba mpira uishe..