Kama Asili ya neno Kawe limetokana na kuwa ' Njia ya Ng'ombe ' yaani ( Cow Way ) vipi na kwa haya Maeneo Asili yake ni nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sawa tumeshajua kuwa Kawe Asili yake ni ' Cow Way ' au ' Njia ya Ng'ombe ' hivyo kwa mwendo huo huo leo na Mimi GENTAMYCINE naomba kujua Asili ya haya maeneo ambayo Siku zote nimekuwa nikiwa na Hamu / Shauku ya Kujua Historia yake....

Kiboloroni
Makunduchi
Nyegezi
Mchambawima

Nawasilisha.
 
Mbona umesahau Mat**bo kule Morogoro Chifu[emoji848]
 
na mto ngono
 
Mfereji matako
Kibanda maiti
 
Kundu uchi== kunduchi

mcham--mbawima==mchamba wima

kum----alako

musa hasasni=
 
Kibo alone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…