Kama Asili ya neno Kawe limetokana na kuwa ' Njia ya Ng'ombe ' yaani ( Cow Way ) vipi na kwa haya Maeneo Asili yake ni nini?

Bila Kusahau,
Msasani= Musa Hasani,
Kwa Mnyamani = Mwinyi Amani,
Rozana = Rozi Ana,
Kilimanjaro = Kyalema Kyaro, Mikocheni = Michael Chain,
 
Bila kusahau
kisauke,
Malapa
Kisauke nilisikia kuna jamaa waliuana wakigombania mwanamke, kwahyo polisi walivyofika kuulizia kisa nini hasa mashuhuda wakajibu kisa uke....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…