Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Siafini t3 kwa mwaka huo ni uhujumu uchumu
 
Umeandika ndio
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Kazii Inafanyika na Mama
 
Daaah u. umeongea kizalendo sana aise
 
Still hii nchi itabski kuwa maskini

Kuna watu wamejihakikishia 10% zao hadi vizazi vyao vya 7 hapo kwenye rasilimali muhimu ya Taifa
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Tanzania kwa miaka yake yote 60 haijawahi kupata Rais Mwanamke ,

1.Mchapakazi

2. Mchamungu,

3. Mpole

4. Mwadilifu,

5. Mpendahaki,

#HAKIKA HAKUNA KAMA SAMIA
 
expand...
#nakupenda Tanzania

Quote Reply
Report Edit Delete
 
Hii story angepewa mtu kama Pascal Mayalla ingenoga sana, wewe haujui kuandika.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…