Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Kaziindelee Tanzania na Samia
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Nailed ABC ZA 2025
 
Uko sahihi mkuu

Namuona Rais Samia akitikisa ndani na nje ya Tanzania

Ipo siku tutanunua gesi kwa buku ten tu Kg 30.

Kazi iendelee
hypothetical story, nani akuuzie gas kwa book 10 nchi hii? Gas yenyewe ina wenyewe, what you are guaranteed to get is royalty,
na provisional corporate tax. Haya makampuni yana losses ambayo mpaka ifutike, count >10 years. gharama za uwekezaji ziko inflated ili wasilipe corporate tax.
wenye gas watakachofanya kwenye pricing, kwanza anafikiria to recoup investment costs,kitu ambacho kinaweza kuchukua miaka zaidi ya 10, na pili serikali inafikiria kuongeza mapato through taxation. kwa mazingira hayo sahau kununua gas kwa book 10.
 
Sheria inataka 10% ibaki nchini,

Watamuuzia Nani kama watauza juu?
 
Mama malizia hili tufurahi Watanzania,
 
kila kitu kinakwenda vizuri
 
Unaelewa ulichoandika?
 
Mlioko,Lindi na mtwara vipi mnaona pilika plilika za wawekezaji huko?
 
Huyu ndi rais atakaye dharauliwa na kila mtu
 
Longolongo nyingi
Watu wanataka
Ukomeshwe ufisadi papa na keki ya taifa igawiwe sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…