Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

Mm mpaka Leo bado sielewi Ni Nani akiyeturoga hebu fuatilia mjadala huu

BUNGENI 2013 tunahitaj hat ya dharura kijadili uwekezaj na uchimbaj wa gesi huko mtwara msimbati Kwan suala hili n nyeti Sana na taifa litanufaika Sana umeme utauzwa Bei ndogo Sana


KAMBI YA UPINZANI BINGENI.2013 jaman hatuna haja ya kiharakaisha hili Jambo lazima tulipe muda zaidi ili tujue kila kitu faida na hasara

WABUNGE WA CCM 2013 nyie wapinzan wapinga maendeleo kabisa nchi hi neema imepatikana mnapinga pinga kila kitu je hamtaki umeme was Bei ya chin tujenge mashule n.k

SERIKALI YA MAGUFULI 2015 -2021

Gesi ya ya kusini haina faida kwetu n mrad wa kifisadi hauna tija na sijui kwann waliingia mkataba ule watanzania tutajenga bwawa letu la umeme na umeme tutauza nje tupate fedha za kigeni

SERIKALI YA SAMIA S HASAN 2021

Tunatarajia kupata wawekezaj wa uchimbaj wa gesi huko kisin tutapata faida nyingi Sana watanzania tuungane pamoja Kwan umeme utashuka na Bei ya gesi itapungua Sana


Watanzania ufike wakati tumjue adui yetu n Nani
 
Ndio mfumo wa Rais Samia huo, "HAKI "
 
Chadema ndio mnahujumu sana maendeleo ya hii nchi
 
CCM NIA YAKE NI NJEMA WAKATI WOTE,

ILA KUNA WATU WANATUKWAMISHA
 
Vya kufikirika hivyo
 
huku mtaani kila mtu anamsifia mama wewe sijui wa wapi kama humjui chuki zako zitakuua
Mimi nilimsifia sana Ila Sasa hivi nipo likizo kidogo nasikilizia,mgema akisifiwa sana tembo...........
 
Huyu Mama atawatia aibu watu sana,
Ngoja tuone na kwenye huu mradi
 
Sure,
 
Kananda unachelewa, wahi tu clinic kajifungue!
Huyo Kananda ni Babu yako, au Bibi yako mzaa baba yako? Ungefanya hima kumuwahisha huko clinic kwenda kujifungua. Gharama zote nitalipa mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…