snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes.
Waelewa tatizo ni Error code 69.
Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C.
Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia subscription ya kampuni yeyote kwenye king'amuzi kimoja especially hivi vya antenna mana dish tutakuja kwenye masuala ya orientation n.k.
Hii itawaepushia gharama waTZ na vile vile itasaidia utunzaji wa mazingira, mana huko mbeleni ving'amuzi navyo vitakuwa sehemu ya uchafuzi wa mazingira.
snipa