William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kwa makocha wa Africa kwa vilabu namkubali sana huyu mfaransa Julien Chevalier. Amekua Asec kwa mafanikio makubwa kwa misimu mitano mfululizo licha ya msimu uliopita kumaliza wa 5.
amekuwa bingwa mara 4 mfululizo licha ya kuwa timu yake huuza mastaa wake wote kila mwisho wa msimu.
Mbaya na hivyo hujua kucheza kwa kusaka ushindi. Kwa wachezaji wa pale Azam Jamaa ataua.
Ligi itakuwa shindani sana. Ila kama wakishindwa kumshawishi huyo mwamba timu wawape tu wazawa wawili yani Kali Ongala na Mgunda.
kali aliiweza timu shida ikawa vyeti na unafiki wa Cadena. Na Mgunda ni mzee wa mbinu. Naamini hawa wakiaminiwa tu tutaona azam wakija kivingine kabisa.
Soma Pia: RASMI: Kocha wa Azam FC, Youssouph Dabo avunjiwa mkataba