Kama bado unafanya acha kuanzia leo........na uache kwel.

erickmalz

Senior Member
Joined
May 27, 2011
Posts
145
Reaction score
11
khabari za sasa wana jamii wa jukwaa hili. Kuna swala nmelifkiria kwa muda sana inabidi niwashilikishe tu. Ilianze kipindi kile cha xtream ya tigo(unlimited msgs),ikifika tym ya kulala msg ztaanza, mara 'umevaaje leo','mimi nmelala hv','ningekuwa hapo ningefanya hv'.......mara wanaanza fanya mapnz kwa kuimagn(via sms), mwsho wa siku...masterbratn 4 boyz(hp na galz mnaishia huko huko).............. KAMA UPO KWENYE KUNDI LA HAWA JAMAA,ACHA KUANZIA LEO COZ NI ZAIDI YA UJINGA.
 
<br />
<br />
maisha ya umiseta hayo
 
Jamani kama kuna wahanga wakubwa wa hii kitu, basi ni wanafunzi! Nawaonea huruma, hii kitu haifai aisee!
 
Kwa jinsi ulivyoelezea inaonesha nawe ni mmoja wao au umeacha hivi karibuni,welcome to the real world.
 
N'takushtaki kwa FF!!
 
Kwa jinsi ulivyoelezea inaonesha nawe ni mmoja wao au umeacha hivi karibuni,welcome to the real world.
<br />
<br />
Ukitaka kumshuri mlivi aache pombe jifanye na wewe ni mlevi. Wanasema ushaur hufana sana pale mshaur anapofaa uusika wa mshauliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…