Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ipo siku mtaomba hadi mikataba ya kununulia ndege vita,maana mnaushabiki wa kishamba.
Nini maana ya kuwa na bunge? Bunge ndio wananchi wa Tanzania wao ndio wanatuwakilisha,muwe mnatumia akili.
Bunge gani unalolisema; la wakina Msukuma na Kibajaji? Unategemea utapata jibu la maana hapo?
Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua
hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei kivyake).
Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,mini tena msingi wa usiri huu?
Je,inawezekana bei iliyoko katika mikataba ni tofauti na iliyoko katika vitabu vya Bajeti?
Tusaidieni katika hili.
Kwani hoja ya Lissu haikugusa usiri wa mikataba?Hahaha sasa hivi mmeamia kwenye mikataba?
Kama hiyo ndio hoja,kwanini mnashindwa kuitetea kama ni hoja halali?Mikataba ya biashara ni siri popote duniani haiwezi kuwekwa wazi kwa maslahi ya kampuni husika vinginevyo utakuwa umekiuka masharti ya mkataba.
Kwa hiyo Halima na Ester ndio wanamajibu ya maana?
Kama kuna wanaopitishwa na TUME wananchi tunawakilishwa na nani tuliyemtuma sisi?Ipo siku mtaomba hadi mikataba ya kununulia ndege vita,maana mnaushabiki wa kishamba.
Nini maana ya kuwa na bunge? Bunge ndio wananchi wa Tanzania wao ndio wanatuwakilisha,muwe mnatumia akili.
Na Kuna wengine was viti maalumu na wengine wanatolewa majalalani huko rais atakapojisikiaKama kuna wanaopitishwa na TUME wananchi tunawakilishwa na nani tuliyemtuma sisi?
Mbona hata airbus walionyesha bei za ndege hizo. Au tatizo ni kutokusoma vitu vya maana ila unasoma sana udaku au ukiambiwa na Lissu.Binafsi nilitarajia usiri wa bei katika kununua
hizo ndege baada ya kukubaliana bei ndio iwe chanzo cha usiri wa mikataba ya manunuzi kwa malengo ya kibiashara(mteja mwingine nae aje ani-gotiate bei na terms za manunuzi kivyake).
Sasa kama gharama ya kununua hizi ndege imetajwa,nini tena msingi wa usiri huu?
Je,inawezekana bei iliyoko katika mikataba ni tofauti na iliyoko katika vitabu vya Bajeti?
Na je,kuna logic ya kujadili vitu vilivyoko katika mikataba ya siri?
Tusaidieni katika hili.
Kuonyesha sio hoja kwani mkini-gotiate bei inaweza kubadilika na ikawa ni siri ya muuzaji na mnunizi kwenye mkataba /makubaliano ya mauziano.Mbona hata airbus walionyesha bei za ndege hizo. Au tatizo ni kutokusoma vitu vya maana ila unasoma sana udaku au ukiambiwa na Lissu.
Baba yako.
Wekeni wazi wezi wakubwa nyie !Ipo siku mtaomba hadi mikataba ya kununulia ndege vita,maana mnaushabiki wa kishamba.
Nini maana ya kuwa na bunge? Bunge ndio wananchi wa Tanzania wao ndio wanatuwakilisha,muwe mnatumia akili.