Kama biashara yako haiuziki zingatia hayo yafuatayo

Emma M Bai

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
223
Reaction score
126
Watu wengi wanajua ukishafungua biashara basi kinacho fuata ni kupiga pesa tu wanasahau viungo muhimu vya biashara

Biashara siyo uchawi biashara ni akili, ubunifu na wakat

Vitu vinavyofanya biashara ifanye vizur zaidi yaan viungo Kwa lugha rahisi bila hiv ndugu kazi bure

1. Quality na siyo Quantity.
Watu wengi wana base kwenye quantity wanasahau quality ipe kipaumbele quality.

2.Standard ya bei
Biashara hazifanyi vizur sababu ya bei mtu ananunua product then anauza mara mbili yake mtu atanunua leo Kwa sababu anashida Na hiyo bidhaa hawez kurudi tena. Hi Kwa sis tunaita biashara yako kuipa matabaka kwamba inakuwa labda ni ya watu wenye uwezo tu hichi kitu kibaya sana weka bei ambayo mtu yeyote anaweza kununua

3.Location (Eneo)
Hi ni muhimu angalia eneo ambalo linafikika kilahisi Na movement ya watu kubwa yaani angalia sehemu ambayo watu wanahitaji nini ili u solve tatzo

4. Creativity (kuwa ubunifu)
Usibweteke kuwa mbunifu ili uendelee kubaki sokoni nadhani tunaona matajir kama mo dewig Na barkhesa wanatengeneza mpaka juice ya Mia kama unanunua bidhaa kwa wenzako jaribu kuangalia kuna bidhaa gani mpya imetoka syo kitu kisha sumbua weee ndo unaleta unakuwa unapishana Na wateja
Kama mpika maandaz syo kila siku yale yale sku nyingine weka hata hiriki watu waone utofauti
Kingine usiwe mbahili sana yaani usiendekeze sana faida Kwa siku mpe hata mteja mmoja ofa ya kitu kidogo hata pipi tu
Weka records za wateja syo wowote hata baadhi ukiwa unawapigia simu kuwapa hai ni vizur zaidi pia kama kuna bidhaa mpya unamwambia kingine kuna wateja wengine wanadharau unakuta mteja anakuambia unanikumbuka mwambie ndiyo hata kama humkumbuki Na usiwe Na maneno meeengi ni kero Kwa wateja wengine

5.Bei ya vitu
Weka faida ndogo ili biashara kuikuzia mzunguko utauza sana hii itasaidia bidhaa kutokukaa sana Na kusababisha pesa kutokuwa Na mzunguko faida ndogo mzunguko mkubwa

6. Muda wa kufunga Na kufungua biashara
Jitahidi biashara iwe wazi muda wote hata kama kuna dharura ziwe chache usipende kukaa na mkeo dukan kuna wanawake wengine shida akija mteja wa kike mkaongea sana kuna wateja wengine hupenda ushaur labda mfano saiv kuna tait mpya bhana tumbo wengine ndo wanaanza kutumia mteja anaweza kuuliza jamani mi kwel itanienea hii Na hipis zangu zote hizi nipe namba yako nitakujurisha Na marafiki zangu nitawaelekeza waje ok sasa hapo mkeo kichwa cha moto anajua hapa napinduliwa ama matunda yangu yataliwa siku ukija kujichaganya umwache kwenye biashara yeye wakimkuta hawatasahau Na wewe ukirudi hapo nyumban hakukariki utakuta kesi kubwa kama uhujumu uchumi

Bora umwache tu nyumban mkeo syo wote wapo wanaojielewa wanafanya vizur lakin ni vizur ukamwacha kijana wako

6. Personality
Hii inajumlisha vitu vingi sana kama
*Lugha jitahidi lugha iwe nzuri kuwa mkarimu mkaribishe mteja hata kama hanunui mshawishi Sifia bidhaa zako Kwa lugha nzur
Mfano unauza majiko ya mkaa ya kupikia mwambie hata hayamalizi mkaa

*Mwonekano vaa vizuri oga siyo mbaya ukiwa Na perfume kuwa smart ili mtu akinunua kitu kwako awe Na uhakika wa afya yake usafi yaani una matter sana piga Na mswaki ni muhimu wafanyabiashara wa nafaka mnajisahau sana utakuta mtu kachafuka unga mpaka kichwani chin hata viatu hajavaa Ana ndala vaa ovaroli kuzuia vumbi Na chin vaa viatu Na pangilia duka vizuri wateja utawaskia tu kaka duka lako zuri chana Na nywele

Ruksa kuongezea Na kukosoa hivyo me sijasomea nimevi practice Kwa vitendo Kwa miaka kumi sasa

Ukibisha bisha Kwa kuweka hoja mezani fanyia kazi hayo utaniambia ruksa kunitumia hata pesa
 
VIPENGELE MUHIMU SANA UMEVICHAMBUA MKUU..HONGERA
 
Ahsante mkuu tunaisaidia jamii Na vijana wetu wanaotoka chuoni bas wakifika kwenye jamii wanajua kile walichokisoma chuo ndo kile jamii inahitaji nitofauti japo siyo sana kusoma biashara siyo kigezo cha kuweza kufanya biashara kitu hichi kinahitaji mtu anayeweza kubadilika kwa haraka zaidi Kwa kuiangalia kesho inahitaji nini

Back
Top Bottom