Kama binadamu ametengeneza Bomu la nyuklia kwanini asiwe ndio kiumbe hatari zaidi Duniani

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Wakuu karibuni tuchemshe bongo.
Screenshot_20241006_201230_Chrome.jpg

Source ya picha ni BBC

Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote.

Sasa hapo juu ndio list ya wanadamu wanaouliwa na viumbe hawa tuliopewa nguvu ya kuwatawala.

SWAL I: Je, Ni kiumbe gani chini ya uso wa dunia ambacho ni hatari zaidi. ?

SWALI 2: Je, inawezakana siku isiyo na tarehe binadamu akairipua dunia nzima na akaset default na tukaanza moja ?

Kama kichwa panzi kaa pembeni na huu uzi. Sitaki zile comment za "leo umevuta bangi gani"

Nawasilisha.
 
Wakuu karibuni tuchemshe bongo.View attachment 3117141
Source ya picha ni BBC

Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote.

Sasa hapo juu ndio list ya wanadamu wanaouliwa na viumbe hawa tuliopewa nguvu ya kuwatawala.

SWAL I: Je, Ni kiumbe gani chini ya uso wa dunia ambacho ni hatari zaidi. ?

SWALI 2: Je, inawezakana siku isiyo na tarehe binadamu akairipua dunia nzima na akaset default na tukaanza moja ?

Kama kichwa panzi kaa pembeni na huu uzi. Sitaki zile comment za "leo umevuta bangi gani"

Nawasilisha.
Aaah mkuu binadamu ni hatari thus why wanasema ubinadamu kazi
 
Kama uliwahi kufika dar es salaam zoo pale utaona wanyama kadhaa halafu itafika mwisho utaambiwa Kuna mnyama hatari kuliko wote duniani . Utataka kumuona😂😂😂 utaingia kachumba utakuta kunasehemu pamefunikwa unatoa pazia kumuangalia unakuta kioo chakujiangalia . Utakua umemuona mnyama hatari
 
Nimeipenda hii
 
Back
Top Bottom